Kumetokea
tukio la wafuasi wa vyama vikuu vya kisiasa vya CCM na CHADEMA
kukabiliana na hata matumizi ya silaha za jadi kama mapanga katika
rabsha hizo. Msomaji wa makala zangu anayefanya biashara ya kuchuuza
samaki sokoni Igunga amenijulisha kwa simu kuwa amenusurika kupigwa
panga alipokuwa akipita nje ya hotel ya Peak asubuhi hii. Kwa sasa yuko
nyumbani kwake akifuatilia upepo unavyokwenda. Wenye taarifa zaidi ya
kinachoendelea Igunga watujuze.
Taswira na Mjegwa Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)