TRA
WAFANYAKAZI wapatao 70 na wateja wa Mamlaka ya Mapato TRA mkoani Mbeya
JANA mchana wamekumbwa na taharuki baada ya jengo la mamlaka hiyo
kuhofia kutetetea kwa moto.Taharuki hiyo imetokea baada ya kusikika
mlio wa king'ora kilichomo ndani ya jengo hilo na kusababisha
wafanyakazi na wateja kutimua mbio.
Meneja Mkuu msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Mbeya Sidney Mkamba alisema kuwa king'ora hicho kimeanza kulia saa saba na robo mchana ambapo baada ya muda mfupi kilizimwa, na kwamba mara baada ya kusikika kwa mlio huo waliwasiliana na watu wa zima moto na TANESCO ili kuangalia uwezekano wa kuzuia hatari hiyo.(Picha zote na Kalulunga na Press Network Tanzania)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)