ENZI ZILE:- WAPIGA PICHA WAKUU NA VIONGOZI WA VYOMBO VYA HABARI WAKIMUAGA BABA WA TAIFA IKULU MWAKA 1985 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ENZI ZILE:- WAPIGA PICHA WAKUU NA VIONGOZI WA VYOMBO VYA HABARI WAKIMUAGA BABA WA TAIFA IKULU MWAKA 1985

https://mail.google.com/mail/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13350430aa857fb8&attid=0.2&disp=inline&zw BAADHI YA VIONGOZI WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MWL. NYERERE SIKU  YA KUMUAGA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUSTAAFU MWAKA 1985.KUSHOTO NI DAVID WAKATI(RTD),NYUMA YA MWL. NI MZEE SAILEN(AVI), GERVACE MSILO (DAILY NEWS, ADINAN MIHANJI (SHIHATA) NA KIYUNGI WA KIYUNGI (MAELEZO)
https://mail.google.com/mail/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13350430aa857fb8&attid=0.1&disp=inline&zwBAADHI YA WAPIGA PICHA TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE WAKATI WA KUMUAGA BAADA YA KUSTAAFU URAIS IKULU JIJINI DAR ES SALAAM 1985.WALIOSIMAMA TOKA KUSHOTO MAX MADEBE(MFANYAKAZI),SAM MMBANDO(SHIHATA),VINCENT URIO, (DAILY NEWS),JOHN MAKWAIA (MAELEZO), MZEE SILEN(AVI), JUMA DIHULE(SHIHATA), ADINAN MIHANJI (SHIHATA)NA KIYUNGI WA KIYUNGI (MAELEZO). WALIOCHUCHUMAA WAPILI TOKA KUSHOTO,CHARLES KAGONJI (MAELEZO),GERVCE MSILLO (DAILY NEWS), MWANAKOMBO JUMAA (MAELEZO), KHATIBU ALLY (UHURU) NA RAPHAEL HOKORORO (MAELEZO).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages