Walemavu Wasioona Nchini Wapatiwa Msaada Wa Katiba Za Nukta Nundu Zenye Thamani Ya Tsh Millioni 32 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Walemavu Wasioona Nchini Wapatiwa Msaada Wa Katiba Za Nukta Nundu Zenye Thamani Ya Tsh Millioni 32

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Oliver Mhaiki (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Sauti ya Wanawake Walemavu Tanzania (SWAUTA) Bi. Modesta Mpelembwa sehemu ya nakala 1,500 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 zenye thamani ya Tshs 32 milioni zilizoandikwa katika maandishi ya nukta nundu ili kuwawezesha walemavu wasioona kuisoma Katiba hiyo. Hafla fupi ya makabidhiano hayo imefanyika Wizarani hapo jana Jumanne, Septemba 27, 2011.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages