Walemavu na Changamoto Nyakati za Mitihani ya Taifa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Walemavu na Changamoto Nyakati za Mitihani ya Taifa

Wanafunzi wenye ulemavu wa macho wa shule ya msingi Ruhila ya mkoani Ruvuma wakiwa darasani.Kesho wanafunzi zaidi Milioni Moja miongoni mwao wanafunzi 96 wenye ulemavu wataanza mtihani wa taifa wa kumaliza elimu ya msingi nchini kote.
wanafunzi wenye ulemavu wa macho wakiwa darasani

Mwanafunzi (Mlemavu wa macho) akisoma maandishi yaliyoandikwa na mashine maalum ya wasioona
Darasani Wafanyakazi wa HakiElimu wakiwa kwenye darasa la walemavu wa macho shule ya msingi Ruhila wakipata maelekezo kutoka kwa mwalimu.
Picha zote na Edwin Mashasi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages