Wachezaji
sita bora waliochaguliwa katika michuano ya kukuza vipaji vya soka kwa
vijana ya Airtel Rising Stars, wakiwa na vyeti vyao baada ya kukabidhiwa
na mgeni rasmi, katika kilele cha michuano hiyo, jana kwenye Uwanja wa
Karume, Dar es Salaam. Wachezaji hao watashiriki kliniki ya Manchester
United itakayofanyika Uwanja wa Taifa kuanzia Oktoba 30 hadi Novemba 2,
mwaka huu.
Nyota sita waliochaguliwa kutoka Tanzania ni pamoja na Dennis
Richard, Seleman Mbovu (kutoka Dar es Salaam), Samir Omar kutoka Mwanza,
Charles John, Graham Naftali na Kassim Jungu wote kutoka Morogoro.Picha Na Bongoweekend
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)