WAATHIRIKA WA MABOMU YA GONGO LA MBOTO WAKIWA KWENYE FOLENI TAYARI KWA KUPOKEA MALIPO YA FIDIA YA NYUMBA ZAO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAATHIRIKA WA MABOMU YA GONGO LA MBOTO WAKIWA KWENYE FOLENI TAYARI KWA KUPOKEA MALIPO YA FIDIA YA NYUMBA ZAO

 
Baadhi ya wakazi wa Kata ya Majohe Gongolamboto wakiwa katika foleni Dar es Salaam jana ya uhakiki ili kupokea malipo ya fidia  ya thamani za ndani na matengenezo ya nyumba zilizoathirika na milipuko ya mabomu iliyotokea kwenye Kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ)  mwezi Februari mwaka huu.Picha Na Majira

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages