VIBAO HIVI TAYARI VIMEZINDULIWA AMA BADO? - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VIBAO HIVI TAYARI VIMEZINDULIWA AMA BADO?

Vibao vya alama za barabarani vilivyowekwa katika baadhi ya barabara za katikati mitaa ya Posta, vingi vimekwishajizindua kabla ya kuzinduliwa rasmi kama moja kati ya vibao hivyo kinavyoonekana kikiwa tayari kimeshafunuka gazeti lililokuwa limekifunika na kuleta utata kwa baadhi ya madereva wanaokuwa wakijishangaa pindi wanapotaka kutumia njia iliyo na vibao hivyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages