TASWIRA ZA RAISI KIKWETE NA WANANCHI WAKE JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA ZA RAISI KIKWETE NA WANANCHI WAKE JIJINI DAR ES SALAAM


Rais Jakaya Kikwete akiwapa mkono wa Idd baadhi ya waumini waliohudhuria swala ya Iddi katika Msikiti wa Kichangani, Magomeni Mapipa, jijini Dar es Salaam jana asubuhi, kabla ya mchana kuondoka kwenda Dodoma kuhudhuria sala ya Baraza la Idd
Rais Jakaya Kikwete akiwasalimu waumini waliofurika kuhudhuria swala ya Idd katika Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni Mapipa, jijini Dar es Salaam jana asubuhi

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na sehemu kubwa ya Umati wa waumini waliohudhuria swala ya Idd katika Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni Mapipa, jijini Dar es Salaam jana asubuhi
 Rais Jakaya Kikwete akipungia Umati wa waumini waliohudhuria swala ya Idd katika Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni Mapipa, jijini Dar es Salaam jana asubuhi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages