TAIFA STARS YALAZIMISHWA SARE YA GOLI 1- 1 NA ALGERIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAIFA STARS YALAZIMISHWA SARE YA GOLI 1- 1 NA ALGERIA

 Wachezaji wa Stars, wakimpongeza mshambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, aliyeifungia timu yake bao la kuongoza katika kipindi cha kwanza Dakika ya 22, baada ya mpira wa adhabu uliopigwa na Nizar Khalfan.
Mfungaji wa bao la kuongoza Mbwana Samatta, akimtoka beki wa Algeria.
 Matokeo ni Tanzania 1 vs Algeria 1

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages