Tone
Multimedia Company Limited inapenda kuwapa taarifa wananchi wote popote
Duniani kuwa tumefanya mabadiliko ya jina la Radio pia jina la Tovuti
ambapo mala ya kwanza ilikuwa inaitwa Tone Internet radio na Jina la
Tovuti lilikuwa ni www.toneinternetradio.blogspot.com,
Kutokana na Sababu za kimsingi za kuingiliana kwa mtandao na Radio moja
iliyopo USA inakwenda kwa jina la Tune Internet Radio ndio sababu iliyo
tupelekea kubadilisha jina na kuzaliwa kwa jina jipya la Tone Online
Radio ambapo tovuti yake sasa itakuwa ni www.toneonlineradio.blogspot.com
na ikumbukwe pia Tone Online Radio ni Radio inayo tumia internet Pekee
hatuna Frequency za aina yoyote. asanteni sana atakae pata link hii
ampatie na mwenzake. Kwa pamoja tunaendelea kuleta maendeleo ya
mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia.
Natanguliza Shukrani kwa niaba ya Uongozi,
Imetolewa na,
Joseph Mwaisango
Mkurugenzi wa Mawasiliano
Tone Multimedia Company Limited.
Natanguliza Shukrani kwa niaba ya Uongozi,
Imetolewa na,
Joseph Mwaisango
Mkurugenzi wa Mawasiliano
Tone Multimedia Company Limited.
KUSIKILIZA TONE ONLINE RADIO BOFYA HAPA: www.toneonlineradio.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)