Rais
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria mkutano wa 'Social Good Summit'
anapokea tuzo kutoka United Nations Foundartion for his work in
Martenal Health and Social Media Commitment kutoka kwa Makamu wa Rais
wa Public Policy of United Nations Foundation Mr. Peter Yeo katika
sherehe fupi iliyofanyika jijini New York .
Rais
Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Mheshimiwa Ban Ki- Moon kwenye Makao Makuu ya Umoja Mataifa jijini New
York nchini Marekani.Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)