Ndege aina ya
CESSINA 210 yenye namba za usajili 9JB1O ya Afrika Kusini iliyoanguka
katika shamba la mahindi la Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Uyole jijini
Mbeya ambapo watu wanne akiwemo aliyewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Mohamed Ramia (64)
wamenusurika kifo. (Picha na Joachim Nyambo).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)