Mish Perfoming Live @ Reading Uni|URBAN PULSE| - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mish Perfoming Live @ Reading Uni|URBAN PULSE|

URBAN PULSE CREATIVE inakuletea makamuzi ya msanii wao Mish ze fyah sis ndani ya concert inayoitwa LOVE CAN iliyofanyika katika chuo kikuu cha Mji wa Reading mapema wiki hii. Show hii iliandaliwa   kwa ajili ya kutafuta fedha ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya jumuiya barani Afrika na hapa nchini Uingereza ikijumuisha Cancer Research na domestic Violence.

Asanteni,
Urban Pulse Creative

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages