Mgeni rasmi katika shindano la kumtafuta Miss Talent wa Vodacom Miss
Tanzania 2011, Mwanamitindo wa kimataifa Cynthia Kanema ambaye pia aliwahi kuwa
Miss Zambia 2003 akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es Salaam alfajiri ya leo na kupokelewa na wenyeji wake Suleiman
Masoud Nassor (katikati) na Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert
Makoye. Shindano la Miss Talent litafanyika leo katika Hotel ya Giraffe Ocean
View Mbezi Beach Dar es Salaam.
Mwanamitindo wa kimataifa Cynthia Kanema ambaye pia aliwahi kuwa Miss Zambia 2003 akizungumza na waandishi wa habari.
Mgeni rasmi katika shindano la kumtafuta Miss Talent wa Vodacom Miss
Tanzania 2011, Mwanamitindo wa kimataifa Cynthia Kanema ambaye pia aliwahi kuwa
Miss Zambia 2003 akiwaameongozana na Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania
Albert Makoye mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam alfajiri ya leo. Shindano la
Miss Talent litafanyika leo katika Hotel ya Giraffe Ocean View Mbezi Beach Dar
es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)