Mwenyekiti
wa Taasisi ya WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (katikati
akiongoza na Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA iliopo
Nyamisati Rufiji mkoa wa Pwani (kushoto) Twaha Twaha (mwenye tai)
pamoja na Mwalimu Mkuu Msaidizi wa shule hiyo Suma Mensah (kulia)
Sept.3.2011 kwaajili ya ukaguzi wa maandalizi kabla ya ufunguzi rasmi
wa shule hiyo Sept.29.2011 utakaofanywa na Rais wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Dr. Mohammed Shein .





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)