Makamuzi ya TMK London - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Makamuzi ya TMK London

Temba akifanya vitu vyake
misosi nayo ilikuwa ya kumwaga
kutoka kushoto Muddy,dj ritchie, Kova Jnr na Dj rule
 TMK wakila pozi na fan wao baada ya makamuzi
 Miss jestina(katikati) akila pozi na wadau waliokuja kwenye show ya TMK
 chege akipandisha mzuka
dj ritchie kutoka bongo dj akifanya makamuzi


URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea matukio katika  show ya TMK iliyofanyika london, Ilford ukumbi wa Empire Suite jumamosi tarehe 3 septemba 2011. Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na MISS JESTINA BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages