Gari
dogo kama inavyoonekana hapo ilipoteza mwelekeo usiku wa kuamkia leo
baada ya kugongana na gari nyingine ambayo ilitooweka muda mfupi baada
ya kutokea kwa ajali hiyo, lakini bado kumekuwepo kwa tabia ya
kung'olewa kwa namba za usaajili kwa lengo la kupoteza ushahidi.
Ajali hii imetokea
eneo la Soweto jijini Mbeya na ambalo lilikuwa na abiria watatu ambao
wamejeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)