KASISI Kiongozi wa Kanisa la
Anglican Zanzibar Father Micheal Hafidh akimkabidhi msaada wao kwa
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi ikiwa ni mchango wao kwa
Wananchi waliofikwa na ajali hiyo.
Kasisi Kiongozi wa Kanisa la Anglican Zanzibar
Father Michael Hafidh akitowa salamu za rambirambi kutoka kwa waumini
wa Kanisa lake kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi alipofika kukabidhi msaada wa Fedha shilingi laki sita kwa ajili
ya Watu waliopata ajali ya Meli iliotokea 19-9-2011 bahari ya Nungwi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)