CHADEMA WAENDELEZA MAPAMBANO IGUNGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHADEMA WAENDELEZA MAPAMBANO IGUNGA

Katibu wa Mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, akihutubia katika mkutano wa kampebni uchaguzi mdogo jimbo la Igunga kijijini Isakamaliwa jana mchana.
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki, Sylvester Kasulumbai akihutubia wananchi wa kijiji cha Nanga leo katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo unaendelea jimboni hapa.
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Suzani KiwaNGA akihutubia katika mkutano wa kampeni za uchaguzi kijijini Nanga mapema jana. Picha zote na Victor Makinda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages