CHADEMA HAWAJAKOSEA KUMDHIBITI MKUU WA WILAYA YA IGUNGA ASEMA LISSU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHADEMA HAWAJAKOSEA KUMDHIBITI MKUU WA WILAYA YA IGUNGA ASEMA LISSU

Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu, akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Igunga kuhusu hatua wanazotaraji kuchukua kuhusiana na kukamatwa na polisi wabunge wao wawili  kwa kile kilichoelezwa kumdhalilisha mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatuma Kimario, hivi karibuni. Tundu Lisu alisema kuwa Viongozi na wananchama wa CHADEMA hawakufanya kosa kumdhibiti mkuu wa Wilaya kwa kuwa aliingilia uhuru wao wa kufanya kampeni. Aliongeza kusema kuwa wao CHADEMA, watafanya kila watakaloweza kuhakikisha kuwa wanashinda kesi. Picha na Victor Makinda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages