Benjamin William Mkapa awasili Igunga kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Benjamin William Mkapa awasili Igunga kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo

Mashabiki wa CCM wakiwa kwenye msafara wa mapokezi ya Mkapa
Msafara wa Mkapa ukisaili mjini Igunga
Mwenyekiti wa CCM mstaafu, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimsalimia Mgombea ubunge jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Peter Kafumu katika mapokezi yake Igunga jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba ambaye ni martibu wa kampeni jimbo hilo.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu, Mzee Benjamin William Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora tayari kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora tayari kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.
Watu wakisubiri msafara wa Mkapa eneo la kijiji cha Makomero nje ya mji wa Igunga
Mgombea ubunge jimbo la Igunga Dk. Dalally Peter Kafumu akimsalimia mmoja wa wananchi wa kijiji cha Makomero waliokuwa wakisubiri msafara wa Mkapa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages