Askari
wa Usalama barabarani aliyejitambulisha kuwa Koplo Mfaume Maondo wa
Kituo cha Mafinga Wilaya ya Mufindi, akiwavusha barabara wanafunzi wa
Shule ya Upendo wilayani hapo juzi. Kwa mujibu wa askari huyo, utaratibu
huo ni endelevu katika Wilayani hapo kutokana na kutokea kwa ajali
nyingi za wanafunzi kugongwa katika eneo hilo na kusababisha vifo.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)