Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimshukuru Mbunge wa Rorya, Lameck Airo kwa kutoa
mchango wa zaidi ya shilingi milioni 530 kwa shughuli mblaimbali za
maendeleokwenye jimbo lake wakati alipozungumza na wananchi kwenye
shamba la umwagiliaji la mpunga la Irienyi wilayni Roraya akiwa katika
ziara ya mkoa wa Mara Septemba 22, 2011.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa umwagiliaji wa kilimo cha
mpunga katika kijiji cha Irienyi wilayani Rorya akiwa katika ziara ya
mkoa wa Mara Septemba 22,2011.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)