Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete (kulia)
akimkabidhi vipeperushi vya Taasisi yake Mke wa Rais wa Burundi, Mama
Denise Bucumi, alipotembelea katika Ofisi za Taasisi hiyo jana, jijini
Dar es Salaam, ambapo alifanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya
maendeleo ya wanawake na watoto pamoja na masuala mengine ya kijamii, Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Mke
wa Rais wa Burundi, Mama Denise Bucumi (kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari katika Ofisi za Taasisi ya WAMA jijini Dar es
Salaam jana baada ya kufanya mazugumzo na Mwenyeji wake mke wa Rais
Mama Salma Kikwete.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)