Waagizaji
wa mafuta kutoka makampuni mbali mbali yanaoagiza na kuuza mafuta hapa
nchini,wakiwa katika mkutano wao jana mchana Wizara ya Nishati na
Madini,Mkutano huo ulikuwa ukijadili kuhusu mgomo wa makampuni ya kuuza
mafuta wanayoyamiliki uliotokana na serikali kupitia EWURA, kushusha
bei za mafuta.Katika mkutano huo ulioongozwa na Naibu katibu mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini na viongozi wa EWURA, waagizaji na wauzaji
hao wa mafuta wamekubali kusitisha mgomo wao na kuendelea kuuza mafuta
kwa bei mpya iliyotangazwa na EWURA.
Picha na Victor Makinda.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)