Warembo wakiendelea kufanya mazoezi kama wanavyoonekana
"Mpaka Chini Twende bado....kidogo......" Acha uvivu hapo wewe.....
"Hawaniwezi hao bado watoto wadogo kwenye riadha"
Hapa alianza na mwezie chini kamaliza nani mshindi?
Hapa Mrembo akijitahidi kuruka ili kuweza kushinda katika shindano la kuruka
Warembo Wa Vodacom Miss Tanzania 2011 wakishindana kukimbia na magunia katika bonanza lao leo
Wakifanya mazoezi ya viungo warembo wa vodacom miss tanzania 2011.













No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)