Hapo Ni Baadhi ya Majengo Ya Ofisi ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Pamoja Na Madarasa Na Cafteria
Hilo linaloonekana pichani ni jengo la zahanati ya Chuo Kikuu Cha Dodoma
Hapo Ni Mbele ya Bweni Namba 2 Ambapo Yapo Mawe Yanayofanana Na Mawe yaliyopo Mkoani Mwanza.Hapo Ndio Huwa Sehemu ya Wanafunzi wanapokuta katika Kutoa Maamuzi mbalimbali.
Wadau wakichota Maji na Wengine Wakifua Mbele ya Bweni namba 2
Huku Ni maeneo ya Maduka yaliyopo katika Kitivo cha sayansi ya jamii sanaa na lugha
hiyo ni barabara inayotoka kwenye mabweni mapya kuelekea mabweni ya zamani
huku ndipo mabweni mapya yalipo na kama yanavyoonekana kwenye picha
Hapo Ni Cafteria Na Mabweni kama yanavyoonekana katika picha
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)