Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali Bungeni, katika kipindi cha
maswali na majibu kwa Waziri Mkuu leo Augost 25, 2011. kila siku ya
alhamisi ya wiki waziri mkuu huulizwa maswali ya ana kwa ana na wa
wabung
Mbunge
wa Viti Maalum, Dianna Chilolo akimuuliza swali Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda katika kipindi cha maswali Bungeni Augost 25, 2011.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Watoto wa Mbunge wa Viti Maalum,
Angellah Kairuki, Ester (kushoto) na Kemilembe kwenye viwanja vya Bunge
Mjini Dodoma Augost 25, 2011.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Kamishina wa Shirika la
Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, Bw. T. Alexander
Aleinikoff, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Augost 25, 2011
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kibakwe , George
Simbachawene kwenye viwanja vya BungeMjini Dodoma Augost 25, 2011
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara,Dr.
Cyril Chami kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 25, 2011
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watendaji waSerikali za Vijiji na
Viongozi wa CCM wa jimbo la Magu kwenye viwanja vya Bunge Mjini
Dodoma Augost 25, 2011.. Kushoto ni MBunge wao, Dr . Dr Festus
Limbu.Picha na Ofisi Ya Waziri Mkuu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)