Nape Nnauye Atembelea Ofisi Za JamboLeo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Nape Nnauye Atembelea Ofisi Za JamboLeo


Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concept, Juma Pinto (kushoto) akimkabidhi nakala ya hivi karibuni ya jarida la Jambo Tanzania, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipotembelea ofisi za kampuni hiyo mjini Dar es Salaam,jana. Jambo Concept ndiyo wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo. Wapili kulia ni Mhariri Mkuu wa Jambo Leo, Godfrey Lutego.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages