Wafanyakazi
wa Wizara ya Fedha Eva Varelian (kushoto) na Alice Kihiyo (kulia)
wakimhudumia mteja leo mjini Dodoma wakati wa maonyesho ya nane nane
yanayoendelea .
Afisa katika kitengo cha bajeti cha Wizara ya Fedha Adamu Msumule
akitoa maelezo leo mjini Dodoma juu ya vipaumbele vya bajeti ya mwaka
huu katika maonyesho ya wakulima ya nane nane yanayoendelea .
oa Onni Sigara(katikati) na Adamu Msumule(kushoto) wakati wa maonyesho ya wakulima ya nane nane yanayoendelea mjini Dodoma.
kwa mwananchi katika banda la Wizara ya Fedha juu ya muhimu wa mfuko
huo katika maonyesho ya wakulima ya nane nane yanayoendelea mjini
Dodoma .
Picha Kwa Hisani Ya John Bukuku - Full Shangwe Blogu






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)