Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, (wa pili kulia) Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi
(kulia), Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Salum na
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Ibrahim Lipumba (kushoto), wakiwa
katika swala ya Eid El-Fitr, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar es Salaam leo, Agosti 31.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, (wa pili kulia) Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi
(kulia), Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Salum, wakiwa
katika swala ya Eid El-Fitr, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam leo Agosti 31
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa Swala ya Eid El-Fitr,
iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo Agosti 31
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Ibrahim
Lipumba, baada ya kumalizika kwa Swala ya Eid El-Fitr leo, Agosti 31
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi,
baada ya kumalizika kwa Swala ya Eid El- Fitr, iliyofanyika kwenye
Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo Agost, 31.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)