MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA KILIMO CHA ZABIBU DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA KILIMO CHA ZABIBU DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe, wakiangalia Pikipiki aina ya Bajaj, aliyoizindua na kumkabidhi Mwenyekiti wa SACCOS ya FUNE, Jones Mazengo. Bajaj hiyo imetolewa na Benki ya CRDB ili itumike katika shughuli za kutembelea shamba la Mizabibu lililopo kijijini Chilangali (ii), likiwa na hekari 300 ambazo zinamilikiwa na wananchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na mkewe Mama Asha Bilal, wakifurahia ngoma ya asili kabira la Wagogo, wakati walipowasili Kijiji cha Chilangali (ii) Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma leo Agosti 02, 2011 kukagua mradi wa kilimo cha Zabibu (FUNE) katika shamba hilo lenye ukubwa wa Hekari 300.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe, Mama Asha Bilal, wakisikiliza maelezo ya Mkulima wa Zabibu, Gulavile Chikamanjenzi (kulia) wakati walipowasili Kijiji cha Chilangali (ii) Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma leo Agosti 02, 2011 kukagua mradi wa kilimo cha Zabibu (FUNE) katika shamba hilo lenye ukubwa wa hekari 300. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages