Kutokana
na mgomo wa uuzaji mafuta unaoendelea kwa baadhi ya vituo nchini,hali
ilikuwa hivi kwa kituo cha kuuzia mafuta cha BP kilichoko makutano ya
barabara za Makunganya na Mkwepu jijini Dar es Salaam, licha ya agizo
la Serikali la kutaka mgomo huo umalizwe. BP ina ubia wa hisa nusu kwa
nusu na Serikali.Picha na Fadhili Akida
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)