Mkurugenzi
wa kituo cha utamaduni wa Iran, Morteza Sabouri, akifafanua jambo
kuhusu mwingiliano wa sheria za Kiislamu na mkataba wa Umoja wa Mataifa
(UN) kuhusu haki za binadau alipozungumza na waandishi wa habari leo
asubuhi ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Sabouri aliseam kuwa
kuna msigishano mkubwa kati a sheria za Kiislamu na Mkataba wa Haki za
Binadamu wa Umoja wa Mataiafa. Alitolea mfano kuwa, kwa sheria za
Kiislamu mtu alieuwa naye sheria utamka wazi kuwa auwawe, ikiwa haki
za binadamu hazikubaliani na sheria hyo.Hivyo huonekana kuwa nchi za
kiislamu znazofuta sheria hiyo kuwa zinavunja haki za binadamu.
Waandishi wa habari´wakiwa katika mkutano huo. Picha zote na Victor Makinda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)