JAMAA WAKIUCHAPA USINGIZI BILA WASIWASI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JAMAA WAKIUCHAPA USINGIZI BILA WASIWASI

Wakati juzi ilikuwa siku ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti na mpango wa kitaifa wa kushughulikia ukatili kwa watoto na mpango wa udhibiti wa taifa, mpango huo hautafanikiwa ikiwa juhudi kubwa hazitaelekezwa kusaidia watoto kama hawa wanaoishi katika mazingira magumu, kama wanavyoonekana pembeni ya Barabara ya Samora, jijini Dar es Salaam juzi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages