Napenda
kuwapa taarifa wadau wote kuwa lile libeneke letu la kucheka na
kupasuka sasa limerudi tena kama kawaida, Ifanye siku yako kuwa fupi na
yenye furaha,punguza mawazo
na stress kupitia cheka upasuke pia furahi na wengine kwa kushea katika
Facebook, Twitter na mitandao mingine... kama unakichekesho usisite
kututumie kupitia chekaupasuke@yahoo.com .. Asanteni na karibuni sana
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)