ATHARI ZA MGOMO KWA WENYE VITUO VYA MAFUTA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ATHARI ZA MGOMO KWA WENYE VITUO VYA MAFUTA

Abiria hawa wa Daladala linalofanya safari zake katika Makumbusho Kivukoni kupitia Mwananyamala walijikuta hawana budi kumsaidi Konda kulisukuma gari hilo baada ya kuzimika kwenye foleni katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Upanga kufuatia 'WESE' kukatika.Picha Na Daily Mitikasi Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages