Askari wa usalama
Barabarani, akimkunja kijana aliyejitambulisha kuwa ni mwanafu wa Chuo cha CBE,
aliyekuwa akjaribu kujibishana na kumbishia Askari huyo, wakati alipokuwa
akitaka kukatiza katika njia iliyokuwa imefungwa kwa muda eneo la Makao Makuu ya
CCM Mkoa wa Dodoma ili kupisha viongozi wa kiserikali waliokuwa wakiingia katika
ukumbi huo.
Kijana huyo alikuwa
akibisha kuhusu kufungwa kwa njia hiyo na kutowaruhusu kupita kabla ya kuanza
kuingia kwa misafara hiyo.
Mwanafunzi huyo baada
ya kuwekwa chini ya ulinzi baadaye aliachiwa huru baada ya kuomba msamaha kwa
askari huyo.
Picha Na Sufiani Mafoto
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)