Askari
wa Usalama barabarabi wakipumzika katika kibanda maalum walichowekewe
pembezoni mwa barabara ya Nyerere eneo la Tazara, ambapo kutokana na
kuchoshwa na jua kali muda mwingine wamekuwa akipumzika mahala hapa bila
kujali na kama hawaoni vurugu za magari na foleni kubwa inayokuwa
katika barabara hiyo.
Na
muda mwingine huwashangaza watu kwa kuwa bize kuongoza magari huku Taa
zikiwa zinafanya kazi jambo ambalo huwakera madereva wengi na
kusababisha msongamano mkubwa kutokana na wao kuita magari ya upande
mmoja zaidi.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)