Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Padri Timothy wa Shirika la
Missionaries of Precious Blood kukagua kisima cha maji kilichojengwa
kwa msaada na Shirika hilo kwenye kitongoji cha Nyerere, Msalato,
Dodoma Julai 23, 2011. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. James
Msekela na wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Tawala za Mikoa Aggrey Mwanri.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akishuhudia wakati Padri Timothy wa Shirika la
Missionaries of Precious Blood alipomtwika ndoo ya maji mmoja wa
wananchi wa Kijiji cha Msalato kitongoji cha Nyerere mkoani Dodoma
baada ya kuzindua kisima na matangi ya maji yaliyojenhwa kwa msaada na
Shirika hilo likishirikiana na wanafunzi kutoka Canada Julai 23,
2011.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizindua kisima cha maji katika kitongoji cha
Nyerere, Msalato, Dodoma Julai 23,2011. Kulia kwake ni Padri Timothy
wa Shirika la Missionaries of Precious Blood ambalo limejengwa kwa
msaada kisima hicho.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na wanafunzi kutoka Canada ambao
walishiriki katika kuchangisha fedha na kujenga kisima katika
kitongoji cha Nyerere, Msalato, Dodoma. Alikuwa katika mkutano wa
uzinduzi wa kisima hicho Julai 23,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)