Baadhi
ya wanafunzi wa shule za sekondari waliofanya vizuri katika mtihani
wa kidato cha sita wakiingia kwenye ukumbi wa Bunge Mjini
Dodoma kuwakabidhiwa vyeti na kutambulishwa kwa wabunge Julai 1,2011.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akiwa na wanafunzi wa shule za sekondari
waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha sita baada ya
kuwakabidhi vyeti na kuwatambulisha kwa wabunge mjini Dodoma Julai
1,2011 Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa, Capt, George Mkuchika na Kushoto kwake
Waziri wa Elimu, Utamaduni na Mafunzo ya Ufundi, Dr. Shukuru.
Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)