Baadhi ya wakazi wa Mji wa Dodoma Mbele ya ofisi ya CCm makao makuu Wakiwa wanafuatilia Bunge Kupitia Runinga Jana Jioni
Wakazi Wa Mji Wa Dodoma Wakiwa Makini Sana kufuatilia Bunge kupitia Runinga Wakati Wabunge walipokua Wakichangia Hoja Katika Kipindi Cha Kujadili Hotuba Ya Wizara Ya Mambo Ya Ndani Jana Jioni Mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)