Vodacom Miss vyuo vikuu 2011 Glori Loli, akiwapungia mkono watazamaji baada ya kutangazwa mshindi.
Vodacom Miss vyuo vikuu Glori Loli, akiwa na washindi wenzake Estol Gerald (kushoto) na Wema Mwanga, mshindi wa tatu.
Vodacom
miss Vyuo Vikuu Gloli Loli, akipanguswa macho na mshindi namba tatu
Ester Gerad, aliposhindwa kujizuia kwa furaha ya ushindi.
Warembo tano bora katika Shindano la vodacom miss vyuo vikuu.
Washiriki wa Vodacom miss vyuo vikuu wakipozi kwenye picha baada ya kumaliza kuonyesha mavazi mbalimbali katika shindanohilo, hapa wakisubili tano bora.
Washiriki
wa Shindan la Vodacom Miss Vyuo Vikuu, wakipita mbele ya watazamaji
huku wakiwa wamevaa vazi la kuogelea, Shindano hilo lililifanyika
mwenyesho mwa wiki mjini Dodoma.
Mgeni
rasmi katika Shindano hilo Mbunge wa Mchinga, Said Mtanda, akimkabidha
kitita cha zawadi cha laki 7 fedha taslimu mshindi wa tatu katika
shindano hilo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)