Mmoja wa warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss kanda ya
mashariki akipita na vazi la ubunifu katika siku ya kumtafuta Balozi wa
Usambara Hotel Lodge mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo.
Mkuu
wa Wilaya ya Morogoro mjini na vijijini Said Mwambungu kulia aliekuwa
mgeni rasmi wakati wa kumtafuta Balozi wa Usambara Hotel Lodge
akimsikiliza Mkurugenzi wa kamati ya Vodacom Miss Tanzania Hashimu
Lundenga,Onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania usiku wa kuamkia
leo
Warembo tano bora wa Vodacom Miss kanda ya Mashariki walioingia katika
kinyanganyiro cha onyesho la kusaka vipaji na Balozi wa Usambara Hotel
Lodge,Onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Ofisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akiwapa mkono wa
pongezi warembo tano bora wa Vodacom miss kanda ya Mashariki walioingia
katika kinyanganyiro cha onyesho la kusaka vipaji na Balozi wa Usambara
Hotel Lodge
Mkuu
wa Wilaya ya Morogoro mjini na vijijini Said Mwambungu wapili toka
kushoto, Mkurugenzi wa kamati ya Vodacom Miss Tanzania Hashimu Lundenga
kushoto,Mama Makamba wa tatu toka kushoto na Vodacom Miss Tanzania
Genevieve Mpangala wakifatilia onyesho la kusaka vipaji na Balozi wa
Usambara Hotel Lodge lililowshariki na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.










No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)