TIMU YA BUNGE YA POOL YAKABIDHIWA ZAWADI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TIMU YA BUNGE YA POOL YAKABIDHIWA ZAWADI

Mshindi wa jumla wa mashindano ya mchezo wa POOL George Simbachawene Mbunge wa Kibakwe (Kulia) akiangalia zawadi ya ngao aliyopewa na Chama Cha mchezo huo  (TAPA) mara baada ya kuibuka mshindi wakati wa mashindano  ya timu ya bunge na combine ya TBL na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa hafla hiyo fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akimpongeza mshindi wa jumla wa mashindano ya mchezo wa POOL George Simbachawene Mbunge wa Kibakwe (Kulia)  mara baada ya kuibuka mshindi wakati wa mashindano  ya timu ya bunge na combine ya TBL na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma. Hafla hiyo fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi ilifanyika leo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akimkadbidhi Mshindi wa pili wa mashindano ya mchezo wa POOL Dkt. Charles Tibeza  Mbunge waBuchosa (Kulia) zawadi ya fimbo ya kuchezea aliyopewa na Chama Cha mchezo huo  (TAPA) mara baada ya kuibuka mshindi wakati wa mashindano  ya timu ya bunge na combine ya TBL na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma. Hafla hiyo fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi ilifanyika leo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
 Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akimkadbidhi Mshindi wa jumla wa mashindano ya mchezo wa POOL George Simbachawene Mbunge wa Kibakwe (Kulia) zawadi ya ngao aliyopewa na Chama Cha mchezo huo  (TAPA) mara baada ya kuibuka mshindi wakati wa mashindano  ya timu ya bunge na combine ya TBL na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma. Hafla hiyo fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi ilifanyika leo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Picha na Anna Nkinda - Maelezo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages