Hapa Ni Kituo Cha Daladala Cha Tabata Segerea Lakini Magari Hayo Yamebaki Barabarani Ambapo Ni Sehemu YA Magari Kutoka Na Kuingia Sehemu Ambapo Si Sahihi Kabisa kwa kupaki mabasi wakati stand ni kubwa. Je MAmlaka Husika Zipo?
Kama Unavyoona Barabarani Kabisa Daladala Zimepaki Je Waze Wa Barabara Ndo Kusema Segerea Hawafiki?
Hayo Ni Mabanda na Baadhi Ya Biashara Ambapo Zimetandazwa Chini Kama Mtaa Wa Kongo Vile. Vibanda Hivyo Vipo Kwenye Miliki Ya Standi Je Serikali Haioni?Au wanangojea Mpaka Wabomoe ndo Wadaiwe Fidia?
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)