SALHA ISRAEL AIBUKA KIDEDEA KATIKA REDDS MISS ILALA 2011 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SALHA ISRAEL AIBUKA KIDEDEA KATIKA REDDS MISS ILALA 2011

 Redds Miss Ilala 2011, Salha Israel akipunga mkono baada ya kutawazwa mshjindi wa Taji hilo alfajiri ya Julai 30, 2011 katika onesho lilifanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akimpongeza  Redds Miss Ilala 2011, Salha Israel baada ya kuibuka mshindi katika shindano hilo. 
 ukafika wa wakati wa kupita na kivazi pendwa kwa mashabiki na wapenzi wa urembo...kivazi cha ufukweni ambapo warembo wote 14 walipita na kivazi hicho.
 warembo wakijinadi kwa vazi la ubunifu...
 Meza ya majaji ikiwa kazi katika kutafuta mshindi wa shindano hilo...
 ulikuwa ni wakati wa warembo kuonesha vipaji vyao na huyu alitinga na joka...ambalo hata hivyo alikumpa maxi za kutosha.Picha Na father Kidevu Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages