Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na baadhi ya marais wakuu wa nchi
za Umoja wa Afrika AU wakimpongeza Rais mstaafu wa Brazil Lula Da Silva
kwa hotuba yake aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Wakuu
wa nchi za AU uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Sipopo,jijini
Malabo,Equatorial Guinea jana asubuhi.Hotuba hiyo ya kusisimua ilitilia
mkazo kwa nchi za Afrika kushirikiana ili kujiletea maendeleo na kuepuka
misaada yenye masharti inayolididimiza bara la Afrika katika lindi la
umaskini.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)