Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama (kulia) akihijiwa na
waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari baada ya
kufanikiwa kumkamata mmoja kati ya watuhumiwa wa mtandao wa kundi la
wanyonyaji wa kazi za wasanii, aliyetambulika kwa jina Mwakwi Yahya,
aliyekamatwa pamoja na mwenzake Francis Kamalamu, waliokamatwa maeneo ya
Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mtuhumiwa
aliyekamatwa akiwa katika kazi ya kudublicate kanda za wasanii, Mwakwi
Yahya, mkazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam, akionyesha sehemu tu ya
kanda hizo baada ya kukamatwa
Picha na Blog ya Othman Michuzi





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)